AyoTV

VIDEO: Habari 5 kubwa za kufahamu katika soka, Tanzania ikipoteza wawakilishi kimataifa

on

AyoTV imekusogezea stori kubwa tano zilizochukua headlines weekend iliomalizika na mechi za UEFA Champions League zinazotarajiwa kuchezwa, moja kati ya stori kubwa iliyochukua headlines ni pamoja na kuondolewa kwa Azam FC na Yanga SC katika michuano ya kimataifa, nchini Kenya Mc Donald Mariga ameanza kampeni rasmi za kuwania Ubunge.

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments