Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mtoto wa miaka 9 anayefanyishwa kazi za ndani Kinondoni Dar, wananchi wameamua hili… #Hekaheka (+Audio)
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > HekaHeka > Mtoto wa miaka 9 anayefanyishwa kazi za ndani Kinondoni Dar, wananchi wameamua hili… #Hekaheka (+Audio)
HekaHeka

Mtoto wa miaka 9 anayefanyishwa kazi za ndani Kinondoni Dar, wananchi wameamua hili… #Hekaheka (+Audio)

March 9, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

March 9 2016 Kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka iliyotokea Kinondoni, Dar es salaam ni madai ya mtoto wa miaka 9 aliyetolewa Iringa kwa ajili ya kuja kufanya kazi za ndani Dar es salaam 

‘Kama kweli kuna uwezekano wa kumrudisha huyu mtoto kwao arudi tu kwao tumechoka sisi kama majirani, leo mimi nilkuwa bondeni nachota maji nikamkuta amepigwa ndio jirani mwingine akamsaidia kumtoa kwenye geti, roho inauma sana kwasababu huyu mtoto ni mdogo sana na ni mwanafunzi‘>>>Majirani

‘Mimi naitwa  Sophia kwetu kabisa ni Iringa nimeambiwa nije huku kufanya kazi, alafu huyu mama  ananipiga, ananiambia nijaze mapipa manne maji alafu siku nyingine nanyimwa hata chakula, nalalaga njaa kwa mfano juzi pia nimelala njaa alafu mama pia ananikatzaga nisioge‘>>>Sophia mtoto wa miaka 9 anayefanya kazi za ndani

Stori kamili bonyeza Play hapa chini nimekuweka…..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

HEKAHEKA: Mwenyekiti atuhumiwa kuua kwa kutumia nyundo DSM

HEKAHEKA: Chatu asababisha Wanaume kulala nje ya ndoa zao DSM

HEKAHEKA: Mwanaume aelezea jinsi Mkewe alivyopotea na kukuta mwili wake umeliwa

HEKAHEKA: Watu wamechanganya Makaburi, Ugomvi umezuka

HEKAHEKA: Kijana mkorofi aliyemchoma kisu mwenzie Jichoni

TAGGED: Hekaheka
Millard Ayo March 9, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Pichaz 20 za Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti
Next Article List ya msafara wa Yanga utaokwenda kuikabili APR Kigali Rwanda klabu Bingwa Afrika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?