Top Stories

“Sakafu ilichimbika, tulikuwa tunaita Mahandaki” Mwalimu Mkuu Chanika (+video)

on

Leo Juni 12, 2019 tunayo stori kutokea Shule ya Msingi Chanika ambayo imefanyiwa marekebisho, huku Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Radislaus Mtanda akisema sakafu ya katika madarasa ilichimbika mithili ya Mahandaki.

Mwalimu Mtanda ameyasema hayo baada ya kukabidhiwa madarasa 12 yaliyokarabatiwa Paa, sakafu na kupangwa rangi kutoka Mradi wa SOS na Jumuiya ya Patel.

SHULE YENYE MIAKA 52 KATIKA MUONEKANO WA ZAMANI NA ILIVYO SASA

Soma na hizi

Tupia Comments