Top Stories

“Msitoe kazi kishemeji shemeji, wananchi wanateseka” – Jumaa Aweso

on

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ameingia kwenye headline za Bungeni Dodoma ambapo leo November 8, 2017, wakati akijibu maswali yaliyoulizwa kwenye Wizara yake ameagiza Wakurugenzi kuacha kutoa kazi kishemeji shemeji kwa wakandarasi wakati wananchi wakiendelea kuteseka kwa kukosa huduma za maji.

Rais Magufuli kaitolea majibu changamoto iliyompigisha magoti Mbunge

 

Soma na hizi

Tupia Comments