on air with millardayo

Dakika 30 za kumjua Hellen, Mtanzania aliyetajwa na FORBES kuwa Bilionea ajae

on

Jina lake ni Hellen Dausen na umri wake ni miaka 29 ( November 1986) na aliipiga chini ndoto yake aliyokaa nayo miaka kumi bila kumfanikisha kisha akaingia kwenye mbio za Ubilionea na kitu kingine kabisa maishani mwake.

Unaambiwa Jarida la FORBES ambalo limekua na nguvu duniani na kutoa ripoti mbalimbali zikiwemo za uchumi na watu na utajiri wao, lilikua na list ya idadi ya vijana takribani elfu mbili lakini Hellen akaibuka miongoni mwa vijana 30 wa Afrika wenye fikra na mikakati ambayo ni utajiri wa siku chache zijazo.

Mtazame upate kumjua zaidi kupitia hii Exclusive Interview hapa chini na ukishamaliza kuitazama sio mbaya ukituachia na comment ili ajue watu walioitazama wameipokeaje.

Soma na hizi

Tupia Comments