social network

Kauli 10 za Harmonize ikiwemo ya mtoto na Mzungu

on

Jina lake limeendelea kutajwa zaidi baada ya kusemekana kwamba yeye ni Baba mtarajiwa kutokana na fununu za ujauzito alionao mpenzi wake ambaye ni Mzungu….. LEO TENA ya CloudsFM imemdaka na kumuuliza maswali haya 10 na akayatolea majibu.

ULIPITWA? Jackline Wolper akisimulia alivyoanza na Harmonize, BONYEZA PLAY HAPA CHINI

AUDIO: Harmonize aongea ukweli kuhusu yeye na habari za kuachana na Jackline Wolper, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMSIKILIZA

Soma na hizi

Tupia Comments