Mix

News na Trailer ya movie mpya ya Watanzania ‘Home Coming’ baada ya kuonyeshwa CINEMA Dsm

on

Ni movie nyingine iliyoigizwa na Watanzania lakini ikapitia kwenye mikono ya Watengenezaji wenye sifa zinazotakiwa kwenye utayarishaji na utengenezaji wa movie kwenye dunia ya sasa…. Trailer yake na ilivyoonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye CINEMA Dar es salaam, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments