AyoTV

VIDEO: Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7

on

Hamidu ni Mtanzania ambaye elimu yake ni darasa la saba tu lakini hakukata tamaa sababu aliamini kufeli elimu sio kufeli maisha, akaamua kufanya kile alichoamini anakiweza na leo hii ni Milionea na ameanza kujenga kijiji cha nyumba zake 1500 Kigamboni Dar es salaam, stori yake kamili iko kwenye hii video hapa chini

AUDIO: Mfungwa Mtanzania aliyefungwa gerezani China ampigia simu Millard Ayo kutoka ndani ya gereza, aeleza yaliyomsibu…. bonyeza play hapa chini

VIDEO: Bilionea Mtanzania katoa sababu za kwanini hajanunua ndege yake binafsi, tazama kwa kubonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments