Baada ya baadhi ya wanasiasa wa Chadema akiwemo Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumjeruhi katibu tawala wa Mkoa wakati wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam ulipoahirishwa.
Leo March 2 wamefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kusomewa shitaka. Mbunge wa Kawe Halima Mdee na wenzie wanne wamekana mashitaka na wametakiwa kujidhamini wenyewe kwa gharama ya Shilingi Milioni mbili kila mmoja.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE