Top Stories

TCU imetaja idadi ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Vyuo Vikuu 2017/18

on

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetaja idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu awamu ya kwanza ya udahili katika mwaka wa masomo 2017/18.

Kwa mujibu wa Kaimu Katibu Mtendaji wa TCU Prof. Eleuther Mwageni ameeleza kuwa waliochaguliwa kujiunga na elimu ya juu kwa awamu hii ni 44,627 ambao ni 57.4% na waliosalia ni 33,129 ambao ni 42%. Ambao wamesalia hawakuchaguliwa kutokana na ushindani au kukosa sifa katika programu walizoziomba.

Ulipitwa na hii? NDALICHAKO: “Vikao bodi ya mikopo walikuwa wanafanyia Dubai”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments