Mix

Kukamatwa Halima Mdee: IGP Sirro asema “Hatujazuia mikutano ya ndani” (+video)

on

Leo July 17, 2019 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ametoa ufafanuzi wa suala la wanasiasa kufanya mikutano ya ndani katika kipindi hiki ambacho mikutano imezuiwa na wanaoruhusiwa ni Wabunge.

IGP Sirro amefafanua baada ya tukio lililotokea huko Mkoani Simiyu na Kagera likimuhusisha Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA Halima Mdee kukamatwa akiwa katika mkutano wa ndani.

MAJAMBAZI WALIOUAWA WAKUTWA NA SIMU 43, BOMU NA MAGAZINE

Tupia Comments