Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: MOBETTO: “Nimeviona vya Diamond kuliko yeyote”
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
February 3, 2023
Breaking: Sheikh Mkuu DSM atumbuliwa, sakata la Dr Mwaka na mkewe
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > MOBETTO: “Nimeviona vya Diamond kuliko yeyote”
AyoTVHabari za Mastaa

MOBETTO: “Nimeviona vya Diamond kuliko yeyote”

October 14, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mrembo Hamisa Mobetto usiku wa October 13 2017 alifanya Party ya mtoto wake ambae amezaa na Mwimbaji Diamond Platnumz ambapo kwenye hiyohiyo party Hamisa alikubali kuhojiwa na Soudy Brown na kujibu maswali mbalimbali.

Miongoni mwa maswali aliyoyajibu ni kama anamchukia Zari ambapo alisema hamchukii na wala haoni kama chuki zinasaidia, anatambua kwamba watoto wao ni ndugu ambapo pamoja na yote wanayopitia kama Wazazi anaamini kuna siku watapatana.

Mengine yote aliyosema Hamisa yako kwenye hizi video hapa chini unaweza kujionea mwanzo mwisho na party ilivyokwenda.

“Simchukii Zari, watoto wetu ni ndugu” TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI HAMISA AKIONGEA MWENYEWE

HAMISA MOBETTO ALIVYOHOJIWA KUHUSU UTATA WA JINA LA MTOTO.…. Tazama kwenye hii video hapa chini

HAMISA MOBETTO AKICHEZA NANI KAMA MAMA…. TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

HAMISA MOBETTO ALIVYOINGIA KWENYE PARTY…. TAZAMA HAPA CHINI

PARTY YA HAMISA MOBETTO: Gigy Money, Isha Mashauzi na Team Hamisa kwenye hii video hapa chini

FULL VIDEO: PARTY YA MTOTO WA HAMISA MOBETTO NA DIAMOND 2017

You Might Also Like

Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri

TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao

Maombi maalum Sudan Papa Francis afike salama

Gharama ya kupunguza uzito kwa puto, madhara yake?, Msechu Kilo 7 zimepungua

Wanaorekodi video video za matukio Shuleni waonywa

TAGGED: bongoflevanews, Stori Pekee, TZA HABARI
Millard Ayo October 14, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article LIVE: Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Uwanja wa Amaan Zanzibar
Next Article “Tumelitupa Azimio la Arusha, tukaanza kuuza mashirika yetu” – Rais Magufuli
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu hapa mbwa aliyevunja rekodi ya Guinness ya umri
Top Stories February 3, 2023
TBS yawataka wauza vyakula kujisajili na maeneo yao
Top Stories February 3, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 3, 2023
Magazeti February 3, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 3, 2023

February 3, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2023

February 2, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 1, 2023

February 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?