AyoTV

EXCLUSIVE: Harmonize kaelezea yote kuhusu ile video iliyosambaa na wengi kuamini kamkejeli Wema Sepetu

on

Toka juzi kuna video ilisambaa ikimuonyesha mwimbaji wa bongofleva kutoka lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, Harmonize akionekana kwenye kipande cha video ambayo wengi wametafsiri kama alikejeli ishu ya mwigizaji Wema Sepetu na tatizo la uzazi ila Harmonize amejitetea kwa kilichotokea.

Ile video ina kama mwaka toka imerekodiwa, ilikua kwenye mazingira ya masihara… yale mashairi ni ya msanii wa Hiphop sio wimbo wangu, wakati tunarekodi sio Harmonize huyu ambaye jamii inamtizama ni Harmonize mwingine sababu ingekua Harmonize huyu wa sasa hivi ningekua na wasiwasi kwanini niongee hivi‘ – Harmonize

Ukiataka kumsikia Harmonize akiongea kila kitu bonyeza play hapa chini…

ULIIKOSA YA HARMONIZE NA JACKLINE WOLPER MAPENZI MOTOMOTO? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

HUJAITAZAMA VIDEO MPYA YA HARMONIZE FT. DIAMOND ‘BADO’ ?? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments