Habari za Mastaa

Unatamani kuwajua wasanii 3 wa Tanzania anaowakubali Hermy B ?kawataja hawa.

on

hamyProducer na mmiliki wa studio ya B-Hits Hermy B wiki iliyopita alipata nafasi ya kuhojiwa na Salama kwenye kipindi cha Mkasi ambapo miongoni mwa maswali aliyoulizwa ni pamoja na wasanii anaowakubali Tanzania kwa uandishi.

hamybHermy B ambaye alianza kwa kucheka alianza kuitaja list ya wasanii wake anaowakubali kwa uandishi bora ambapo wa kwanza alimtaja Fid Q,wa pili Profesa Jay na wa tatu kamtaja Hamis ‘Mwana Fa’.

Tupia Comments