Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Siku 10 ICU, Nameless asimulia alivyonusurika kifo
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Siku 10 ICU, Nameless asimulia alivyonusurika kifo
Habari za Mastaa

Siku 10 ICU, Nameless asimulia alivyonusurika kifo

October 15, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Muimbaji mkongwe kutokea Kenya David Matehenge maarufu kama Nameless amefunguka kuhusiana na tatizo la ubongo alilolipata September 2017 ambalo lingemsababishia kifo kutokana na damu kuvujia kwenye ubongo.

Kwenye mahojiano aliyoyafanya na kipindi cha televisheni cha KTN, Nameless ameelezea kuhusu ugonjwa huo wa ‘Subarachnoid haemorrhage‘ ulivyomtesa na jinsi alivyoongeza juhudi za kupambana na ugonjwa huo na kukimbizwa katika hospitali ya Agha Khan University Hospital na kuwekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi.

“Nakumbuka kushikilia kichwa changu kwasababu nilihisi kama kuna kitu kinaota ndani ya kichwa, sikutaka kujua kama nakufa ‘

“Mama yangu alipigiwa simu na kuambiwa kuwa nipo katika hali mbaya na ilimchukua saa mbili kufika, hakuamini kwasababu aliongea na mimi siku kama ya jana ” >>>Nameless

Nameless alikaa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku 10 na baadae kuhamishiwa katika wodi za wagonjwa wa kawaida na kupewa tarifa kuwa hakuwa na damu ya kutosha kichwani na hivyo kuongezewa wiki 3 zaidi kwaajili ya uangalizi.

MTANZANIA ANAEZALISHA MBOGA ZA MAJANI KWA KUTUMIA KIYOYOZI

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Harmonize aibua mapywa, afichua ya Dada wa Diamond, aeleza alivyoshiriki kwenye wimbo huu mpya

Tazama Diamond ‘Sheikh Mansoor’ akiwapokea Watoto wake Airport na Rolls Royce ‘Tiffah na Nillah’

TAGGED: bongoflevanews
Admin October 15, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mambo Matatu yaliyozungumzwa na Familia ya MO DEWJI leo
Next Article PICHA 4: Kanye West & Kim Kardashian ndani ya Ikulu ya Uganda
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?