Habari za Mastaa

VIDEO: Mwana FA alivyowauzia mashabiki wake Body spray yake mpya

on

Leo December 21, 2018 msanii mkongwe Mwana FA ameingiza Body spray yake mpya sokoni kwa mara ya kwanza tangu aitangaze bidhaa hiyo ambapo Mwana FA ameingia dukani mwenyewe kuwauzia mashabiki wake huku na na baadhi ya mastaa kama Flaviana Matata, AY wakimuunga mkono kwa kufika na kuinunua bondy spary hiyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: AY KAFUNGUKA KUHUSU MWANA FA KUZINDUA BODY SPRAY YAKE MPYA

Soma na hizi

Tupia Comments