Video Mpya

VideoMPYA: Lava Lava anakualika uwe wa kwanza kuitazama ‘Teja’

on

Muimbaji wa Bongofleva kutoka record label ya WCB Lava Lava baada ya kufanya vizuri kwa hit single yake ya Teja, sasa ameamua kuiachia rasmi video ya wimbo huo. Unaweza kuitazama kwa kubonyeza PLAY halafu naomba niachie comment yako.

Video iliyowanasa Dogo Janja na Irene Uwoya wakipelekana saloon

Soma na hizi

Tupia Comments