Kutokea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kesi ya Uhujumu Uchumi na tuhuma za Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe imeendelea katika Mahakama hiyo ambapo imeahirishwa hadi Agosti 27, 2021 huku Wakili wa Mbowe, Peter Kibatala akisema wameibua hoja kuhusu kauli zilizosambaa hivi karibuni kuhusu kesi hiyo.
KESI YA MBOWE: KINACHOENDELEA MAHAKAMANI KISUTU, ITAENDESHWA KWA VIDEO