Habari za Mastaa

Mwigizaji anaelipwa zaidi duniani ni…? Orodha kamili hii hapa.

on

Robert-Downey-Jr.-Highest-Paid-Actor

Wewe ni mpenzi wa movie? Kama wewe ni mpenzi wa movie za Kimarekani kama mimi basi utapenda kujua ni waigizaji gani wananolipwa pesa ndefu zaidi kwenye list ya Actors wa kiume Hollywood.

Nimekutana na orodha iliyotolewa na jarida la Forbes Marekani inayowatajwa waigizaji 10 wa kiume wanaoshika chati kwa kulipwa pesa ndefu zaidi pale wanapocheza movie, wapo akina Jackie Chan, Vin Diesel, Tom Cruise, Adam Sandler na wengine.

robert-downey-jr-600x338

Robert Downey Jr. muigizaji anaelipwa hela ndefu zaidi duniani

Mwigizaji Robert Downey Jr kutoka kwenye movie ya The Avengers: Age of Ultron atajwa na jarida la Forbes Marekani amekuwa mwigizaji anaelipwa hela ndefu zaidi duniani kwa miaka mitatu mfululizo, na kwenye movie ya The Avengers: Age of Ultron aliyoigiza mwaka jana alilipwa dola Mil.80 (Bil. 160 za Tz.)

JC

Jackie Chan nae katajwa kwenye orodha ya wale kumi bora…icheki orodha ya Forbes hapa chini ujue kashika nafasi ya ngapi.

Hapa chini nina orodha ya wale 10 bora kwenye movie wanaolipwa zaidi duniani, orodha ya waigizaji wa kike wanaolipwa hela ndefu zaidi duniani inategemea kutoka hivi karibuni.

Yule umpendaye yupo kwenye hii kumi bora mtu wangu?

rob

Robert Downey Jr: $80 million

Jackie-Chan

Jackie Chan: $50 million

VIN

Vin Diesel: $47 million

Bradley-Cooper

Bradley Cooper: $41.5 million

Adam Sandler

Adam Sandler: $41 million

tom cruise

Tom Cruise: $40 million

bollywood_amitabh_bachchan_1

Amitabh Bachchan: $33.5 million

salman-khan

Salman Khan: $33.5 million

ffff

Akshay Kumar: $32.5 million

mark-wahlberg

Mark Wahlberg: $32 million

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments