Michezo

Horoya AC wabaki na wachezaji 14 kuivaa Pyramids FC leo

on

Club ya Horoya AC ya Guinea leo itatumia wachezaji 14 tu katika game ya nusu fainali ya Kombe la shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Pyramids FC ya Misri sababu wachezaji wake wengine wana Corona.

Katika list hiyo ya wachezaji 14 wawili ni ndio magolikipa na wengine ndio wachezaji wa ndani, game hiyo itachezwa leo nchini Morocco saa nne usiku.

Hata hivyo michezo ya nusu fainali ya Kombe la shirikisho Afrika itachezwa ya mkondo mmoja hakuna nyumbani na ugenini sababu ya Corona.

Soma na hizi

Tupia Comments