Mix

VIDEO: JPM alivyozindua hostel UDSM

on

Leo April 15 2017 Rais Magufuli amezindua hostel mpya za wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ‘UDSM’ baada ya kukamilika ujenzi wake ambapo zitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840.

Itakumbukwa kuwa September 6, 2016 Rais Magufuli alifanya ukaguzi wa hostel hizo ambazo zimejengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Unaweza kutazama hapa kwa kubonyeza play…

VIDEO: Mwigulu Nchemba baada ya kutembelea eneo walilouawa askari 8, Kibiti. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments