Top Stories

Hoteli yawaka moto Makumbusho DSM, taharuki yaibuka “Ghorofa sita” (video+)

on

Ni Usiku wa kuamkia Septemba 21, 2021 ambapo sehemu ya Safina Hotel iliyopo Makumbusho Dar es salaam iliwaka moto huku Wananchi walipambana kuuzima moto huo ambao kadri muda ulivyozidi kusogea unaongezeka, msaada wa fire ukahitajika.

WAZIRI MKUU ALIVYOKATAA KUFUNGUA OFISI YA TANESCO KYERWA “GHARAMA KUBWA KULIKO IDADI YA MAJENGO”

Soma na hizi

Tupia Comments