Videos

VIDEOS: Top 5 ya hot news za Ayo TV zilizotazamwa zaidi June 20 2016

on

Ayo TV  kila siku ikiwa na hot news kwa ajili yako mtu wangu, Leo June 21 2016 nakusogezea countdown hii ya hot news tano kali  zilizotazamwa na watu wengi zaidi June 20 2016.

Naanza kukusogezea list hii ya videos tano mtu wangu kama ulikosa stori hizi, unaweza kuzitazama hapa chini.

5. Video ya  Nape amtupia zigo Lowassa, kila mbunge kukatwa mil 60 iliyosomwa na Alice Tupa katika uchambuzi wa magazeti iliyotazamwa mara 20,079.

4. Audio ya JWTZ kutoa ufafanuzi kuhusu Kifaru kilichoripotiwa kuibiwa iliyotazamwa mara 20,300.

3. Video ya dakika moja ya wapinzani waliofanya kabla ya kutoka nje ya bunge na imetazamwa mara 20,616.

2. Imeshikilwa na Video hii ya Wabunge wa UKAWA walivyotoka bungeni kwa style mpya ya kuziba midomo na kutazamwa mara 43,139.

1. Imeshikiliwa na Video ya Goal and highlights: MO Bejaia vs Yanga June 20 2016, Full time 1-0 na kutazamwa mara 66,699.

ULIKOSA KUONA VIDEO YA MADINI YANAYOTAFUTWA KWA WINGI DUNIANI? ICHEKI VIDEO HII HAPA CHINI…..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

Soma na hizi

Tupia Comments