Top Stories

Hotuba nzito ya Hussein Mwinyi baada ya kuchaguliwa Mgombea Urais ZNZ (+video)

on

Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar aliyepitishwa na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Hussein Mwinyi, amesema kuwa licha ya kwamba katika maisha yake yote kufanya mitihani mingi, lakini amekiri kuwa mtihani mgumu na mkubwa ambao amepitia ni ule wa kuwania nafasi hiyo.

“Hii ni heshima kubwa na kura nilizozipata ni nyingi sana na hii inaonyesha imani yenu juu yangu na mimi niwaahidi nitafanya kazi na kulitumika Taifa kwa nguvu zangu zote” Mwinyi

“Wenzangu wote wako tayari kushirikiana nami, sasa hivi hakuna timu Mwinyi wala nani sasa hivi tuna timu CCM, zoezi halikuwa rahisi, mimi katika maisha yangu nimefanya mitihani mingi lakini mkubwa kuliko wote ulikuwa ni huu, mkiona nimepungua pungua sababu ni hii”Mwinyi

BREAKING: MWINYI ATANGAZWA KUWA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR , MAGUFULI TANZANIA BARA

Soma na hizi

Tupia Comments