Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Aliyecopy hotuba ya Obama na kumpa Rais Buhari…Kufukuzwa kazi
Share
Notification Show More
Latest News
Wanafunzi 90 wa shule ya msingi wamelazwa hospitalini baada ya kula keki zenye bangi
September 22, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
September 21, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Aliyecopy hotuba ya Obama na kumpa Rais Buhari…Kufukuzwa kazi
MixTop Stories

Aliyecopy hotuba ya Obama na kumpa Rais Buhari…Kufukuzwa kazi

September 19, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Wiki iliyopita Ikulu ya Nigeria kupitia kwa muandishi wa hotuba za Rais, iliingia kwenye skendo ya kunakili hotuba ya Rais Barack Obama na kumpa Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ambaye aliisoma kama ilivyo bila kujua, mpaka wapinzani walipoanzisha mzozo juu ya suala hilo.

Official responsible for Plagiarism of Obama's Speech to be sacked

Sehemu ya hotuba ya Rais Buhari iliyonakiliwa kutoka kwenye hotuba ya Rais Barack Obama aliyoitoa mwaka 2008 inasema “Change Begins With Me” Mabadiliko Huanza Na Mimi, ikifahamika kwa jina la Hotuba ya Ushindi.

Ikulu ya Nigeria imeomba radhi juu ya aibu iliyomkuta Rais wa nchi hiyo na kuahidi kumchukulia hatua kali za kinidhamu muandishi aliyesababisha.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Trust limesema kuwa kiongozi huyo msaidizi wa idara ya mawasiliano ya Rais, ataondolewa kazini kutokana na uzembe alioufanya. Muda mfupi tangu kutokea tatizo hilo, Taasisi ya Rais kupitia idara ya mawasiliano kwa Umma imeripoti kuwa itaweka software itakayokuwa ikigundua kama hotuba zote za Rais zimenakiliwa kutoka sehemu nyingine. 

Msemaji wa Serikali ya Nigeria amesema >>>Tumepanga kuchukua hatua ya kuweka kifaa kitakachokuwa na uwezo wa kukagua na kugundua kama hotuba za Rais zimenakiliwa kutoka sehemu nyingine kabla ya kumkabidhi Rais,”

Kitendo cha Hotuba ya Rais Buhari kunakiliwa kutoka kwenye Hotuba za Rais Obama, kimewafanya vyama vya upinzani nchini humo kusema kuwa ipo siku Rais huyo atasaini nakala za kujiuzulu bila kujua kutokana na kutozikagua kabla ya kuzisoma.

UMEPITWA NA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO? TAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI

You Might Also Like

Wanafunzi 90 wa shule ya msingi wamelazwa hospitalini baada ya kula keki zenye bangi

NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023

RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki

Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini

TAGGED: Nigeria
Millard Ayo September 19, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Msanii Mandoza kutoka Afrika Kusini Afariki Dunia.
Next Article Wizkid ameipa heshima hii One Dance ya Drake
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Wanafunzi 90 wa shule ya msingi wamelazwa hospitalini baada ya kula keki zenye bangi
Top Stories September 22, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
Magazeti September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
Top Stories September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
Top Stories September 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Wanafunzi 90 wa shule ya msingi wamelazwa hospitalini baada ya kula keki zenye bangi

September 22, 2023
Top Stories

NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa

September 22, 2023
Top Stories

RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki

September 21, 2023
Top Stories

Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini

September 21, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?