Top Stories

“Sigeuki nyuma, nakwenda mbele tu”-Kangi Lugola

on

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola baada ya kukabidhiwa rasmi ofisi ya Wizara hiyo kutoka kwa mtangulizi wake Dr Mwigulu Nchemba mkoani Dodoma amesema amepokea kijiti na sasa anaanza kazi ya kwenda nacho mbele.

Unapopokea kijiti hutazami nyuma, unakipokea kijiti ukiwa unatazama mbele na mwendo. Nimepokea kijiti sasa niendelee na safari nihakikishe hiki kijiti nakwenda nacho mbele” –Kangi Lugola

Mwigulu Nchemba baada ya kukabidhi ofisi leo “Bodaboda wanapata tabu”

Soma na hizi

Tupia Comments