Nyumba/ Mijumba

Unapenda ujenzi wa nyumba za kisasa? tazama hizi mbili labda utapata chochote

on

z16Sio kila anaetazama hii post anao uwezo wa kujenga nyumba za namna hii ila kua uwezekano na nyumba ndogo ya saizi yako ukaweza kuibadilisha kwenye sehemu flani baada ya kutazama mpangilio wa hizi za kisasa kuanzia chumbani, sebuleni, garden, taa zilivyowekwa, jikoni na sehemu nyingine.

Hii nyumba ya kwanza hapa chini ipo Slovakia.

z1

z3

z4

z5

z6

z7

z8

Nimependa hiyo TV na kabati lake vilivyopangwa

z9

z10

z11

Wakati mwingine sio lazima swimming pool ikae nje, kwa ndani ni nzuri zaidi manake inakua imefungiwa kama kwenye chumba hivyo hata watoto hawawezi kufika.

z12

z13

z14

z15

Jinsi mpangilio wa taa unavyoweza kuongeza muonekano wa nyumba kuwa mzuri maradufu

z17

Z34 Basement

Ramani zake ndio hizi hapa chini

z38 first level

z39 second levelNyumba namba 2 ndio inayofata na ilijengwa mwaka 2012 Sao Paulo Brazil.

z19

z20

z21

z22

z23

z24

z25

z26

z27

z28

z29

z30

z31

z32

z33

z34

z35

z36

z37

z18

Kama umependa kukutana na hizi picha millardayo.com naomba niachie comment yako ili niwe naziweka mara tatu kwa wiki mtu wangu.

Unataka vitu kama hivi visikupite? ungana na mimi kwenye twitter instagram na facebook @millardayo uwe wa kwanza kupata kila ninachodondosha hapa manake nitakua nakutumia huko  mtu wangu.

Tupia Comments