Videos

VideoMPYA: Kutoka Makomando msanii Muki katuletea hii ‘Unazingua’

on

Msanii wa muziki ambaye anaunda kundi la Makomando, Muki Comando ametuletea video ya wimbo wake mpya alioufanya mwenyewe wimbo unaitwa ‘Unazingua’ wimbo audio imefanywa katika studio za Mr T.touch huku video ikiwa imetayarishwa na Director Kilonzo.

Baada ya Muki kufanya huu wimbo mwenyewe imezidi kuleta maneno kwa mashabiki kuhusu kutengana kwao kwani kuliwahi kuwa na story zilizodai kuwa Makomando wametengana japo hawajathibitisha hilo, Makomando ni kundi la muziki linaloundwa na Fredy pamoja na Muki.

PLAY hapa chini kuitazama Video hiyo..

Gigy Kajifungua “Huwezi kumuona mwanangu hata kwa Milioni 90”

Roma na Mkewe kwenye Send Off ya mchumba wa Stamina leo

Soma na hizi

Tupia Comments