Top Stories

PICHA: RC na RPC Kilimanjaro wameongoza mazishi ya Mapadri watatu

on

Leo April 17, 2018 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira, Kamanda wa Polisi Hamis Issah na Mkuu wa wilaya Same Rosemery Senyamule wameongoza mazishi ya Mapadri watatu waliofariki katika matukio tofauti.

Mapadri Waliofariki ni Padri Ubaldus Kidavuri aliyefariki akiwa Dar es salaam, huku Padri Arbogast Mndeme aliyefariki akiwa kwenye matibabu hospitali ya KCMC na Michael Kiraghenja ambaye alifariki akiwa katika mafungo ya kusali.

Mapadri hao wamezikwa katika makaburi ya Mapadri wilayani Same.

 

Uamuzi kesi ya Mbowe na Viongozi 8 CHADEMA kutolewa May

Soma na hizi

Tupia Comments