Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: POLEPOLE AREKODIWA: “Hatuna hiyo taarifa ya Wema kurudi” (+Exclusive Audio)
Share
Notification Show More
Latest News
Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
August 8, 2022
International Marathon yaacha historia Zanzibar
August 7, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Breaking News > POLEPOLE AREKODIWA: “Hatuna hiyo taarifa ya Wema kurudi” (+Exclusive Audio)
Breaking NewsHabari za MastaaTop Stories

POLEPOLE AREKODIWA: “Hatuna hiyo taarifa ya Wema kurudi” (+Exclusive Audio)

December 1, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Katibu wa Itikadi na uenezi Chama cha Mapinduzi CCM Humphrey Polepole ameingia kwenye headlines baada ya kuonekana kujibu kwa maandishi taarifa za Mwigizaji Wema Sepetu kurudi CCM baada ya kutangaza kujiondoa CHADEMA leo.

Sehemu ya aliyoyaandika Polepole leo ni >>> “Chama chetu sio Daladala mtu anaweza kupanda na kushuka wakati wowote, ni heri akabaki hukohuko ama akaanzie kule ambako alichukulia kadi yetu”

AyoTV na millardayo.com zimempata Polepole kwenye simu na kueleza yafuatayo >>> “Mimi kama Msemaji wa Chama na kwa niaba ya Chama, hatuna hiyo taarifa mpaka sasa hivi na unajua Mwanachama harudii Mtandaoni, kuna utaratibu wa kikatiba wa namna ambavyo mtu anakuwa Mwanachama” msikilize zaidi kwa kubonyeza PLAY hapa chini

BREAKING: WEMA SEPETU AONDOKA CHADEMA, ARUDI CCM

FULL VIDEO: WEMA SEPETU ALIVYOTANGAZA KUHAMIA CHADEMA, BONYEZA HAPA CHINI KUMTAZAMA

You Might Also Like

Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko

International Marathon yaacha historia Zanzibar

Nane Nane Morogoro, Shaka apongeza jitihada za Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Mfahamu Panya Kennedy anayebeba Camera kama Binadamu ‘Anarekodi Matukio vitani’ (video+)

TAGGED: bongoflevanews, Breaking news, TZA HABARI
Millard Ayo December 1, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article BREAKING: Kitu Polepole ameandika baada ya Wema kutangaza kurudi CCM
Next Article STEVE NYERERE: “Polepole wewe nani? CCM hujaiunda wewe”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
Mix August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
Top Stories August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
Mix August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
Magazeti August 8, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 7, 2022

August 7, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 6, 2022

August 6, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 5, 2022

August 5, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 4, 2022

August 4, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?