Habari za Mastaa

Interview Part II: Harmonize alivyokutana na Diamond kwa mara ya kwanza na Diamond alivyomjibu.

on

Harmonize ni msanii mpya kwenye bongofleva, msoto wake wa maisha ulimpa machungu na akakomaa kwenye alichokiaminia mpaka akafanikiwa, alianza kujulikana kwa ukubwa baada ya kuangukia mikononi mwa Diamond Platnumz ambaye walikua hawafahamiani… tazama hii video hapa chini Harmo akielezea alivyokutana na Diamond.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments