Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Social Network: Alichokipost Mwana FA kuhusu Haruna Niyonzima
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > social network > Social Network: Alichokipost Mwana FA kuhusu Haruna Niyonzima
social network

Social Network: Alichokipost Mwana FA kuhusu Haruna Niyonzima

June 22, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Moja kati ya taarifa ambazo zilichukua headlines June 21 2017 ni taarifa kutoka Club ya Yanga ambapo Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa alitangaza na kuweka wazi kuwa Haruna Niyonzima ambaye mkataba wake na Yanga unamalizika July,  Na wameshindwa kufikia makubaliano ya kumuongezea mkataba mpya.

Stori zilizoko kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni kuwaa Haruna Niyonzima anatarajia kujiunga na Club ya Simba na moja kati ya Mashabiki wakubwa wa Club hiyo mkali kutoka Bongoflevani Mwana FA ametumia mtandao wake wa Twitter na Instagram kuyaandika maneno kwenye picha ya Haruna Niyonzima

‘Haruna mwenyewe ndio hufanya mambo haya???aaaah,sitaki mimi ??..ama kweli akupigae ngumi ya jicho,na we mpige ya sikio akikuuliza unaonaje na we muulize………………???’Mwana FA

Haruna mwenyewe ndio hufanya mambo haya???aaaah,sitaki mimi ??..ama kweli akupigae ngumi ya jicho,na we mpige ya sikio akikuuliza unaonaje na we muulize………………???

A post shared by Falsafa,The Choirmaster (@mwanafa) on Jun 22, 2017 at 2:43am PDT

Huyu ndio huyo Haruna mwenyewe?aiiiiiiii pic.twitter.com/WlQPkTnZAd

— Choirmaster! (@MwanaFA) June 22, 2017

Katibu Mkuu Yanga kuhusu Ibrahim Ajib na Niyonzima

You Might Also Like

‘Ukiwa na njaa utafanya lolote hata kudanga nitadanga nipo serious’ Gigy Money

Utafiti umeonesha sehemu anayolala Sokwe mtu ni safi kuliko ya binadamu

‘Nina mpango siku yoyote kuzivunja tuzo za KTMA nilizoshinda’ – AT

Alichokiandika mke wa Kafulila baada ya kuonana na Tundu Lissu leo

“Hali ya uchumi wa nchi ni mbaya mno…inadidimia” – Zitto Kabwe

TAGGED: Social media NEWS
Admin June 22, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kitu Amini anatamani Rais Magufuli afanye kwenye Bongofleva (Video+Nukuu)
Next Article TWEETS: Story kubwa 7 mchana wa leo June 22, 2017…zisikupite
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?