Duniani

PICHA 4: Harusi ya kifahari ya wanajeshi 18 wa China kuoa siku moja

on

Miongoni mwa matukio muhimu katika maisha ya binadamu moja wapo ni Harusi ambazo pia watu wengi hupenda kusheherekea kifahari zaidi kwasababu ni tukio la kipekee kwenye maisha yao, leo nimekutana na hili ambayo sio kitu kinachotokea mara nyingi , tumezoea kuona harusi moja lakini wanajeshi hawa wa nchini China wameweza kusheherekea siku hii muhimu kwa pamoja siku moja.

Jeshi la Air Force la nchini China limeshiriki kuwafanyia harusi ya kifahari na ya kijeshi, wanajeshi wake 18 kwa siku moja najua unatamani kuona iliwezekanaje harusi ya watu wengi hivi kwa siku moja, nakusogezea picha nne ujionee harusi hiyo.

b

c

d

aa

KUITAZAMA HII YA VIVUTIO UTAKAVYOKUTANA NAVYO UKIFIKA JOHANNESBURG SOUTH AFRICA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments