Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Christina Shusho baada ya ‘Seduce Me’ ya Alikiba “Ukiwa Mfalme huchagui dini…”

on

Ni siku mbili sasa zimepita tangu mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ ambao umekuwa ukizungumziwa na watu mbalimbali wasanii na wasiokuwa wasanii na wanasiasa pia.

Mmoja wa wasanii waliouzungumzia wimbo huo ni pamoja na Mwimbaji wa nyimbo za Injili Christina Shusho ambaye anafahamika zaidi kutokana na nyimbo zake za kumsifu Mungu lakini kupitia Instagram yake aliandika huu ujumbe kwa Alikiba.

>>>”Leo unaeza kuta mtu kaitwa kanisani aongoze wimbo wa sifa halafu akalianzisha seduce me….eeh jamani Kiba we noma. – Wimbo ni mzuri sana Professionally in boss ruge ‘s voice. – Hauna picha za aibu , naeza watch na familia, though sijui maana ya SEDUCE ME.

#team Kigoma #wamanyema oyeeeee LAST @OFFICIALALIKIBA BASI SIKU NYINGINE TUTEMBELEE KANISANI. UKIWA MFALME HUCHAGUI DINI WOTE WAKO.”

Kitu RC Makonda amewaandikia Diamond na Alikiba kutokana na BEEF yao!!

ESMA KAULIZWA: Mama Diamond alikua na hali gani baada ya post ya Ommy Dimpoz 

Soma na hizi

Tupia Comments