Habari za Mastaa

Casto amejibu “Nakaribia kuingia kwenye ndoa, tusipende maisha ya Insta”

on

Katika Sehemu ya pili ya mahojiano ya Ayo TV na Casto Dickson, Casto ameeleza kuwa anakaribia kuingia kwenye ndoa japo hakutaka kusema kama atamuoa Tunda au mwanamke gani lakini amesisitiza watu kusubiri na kuacha kuamini maisha ya Instagram kwani ya uongo mwingi kuliko ukweli.

Tazama VIDEO hapa chini kwa kubonyeza PLAY

VIDEO: Ndugu wa Nay aliye simamishwa kwa vyeti feki aingia shamba “Anaingiza hela nzuri”

Soma na hizi

Tupia Comments