AyoTV

“Walisema Spika dhaifu wakaingia kwenye 18 zangu” – Spika Ndugai

on

Spika wa Bunge Job Ndugai alisimama Bungeni Dodoma leo September 5, 2017 baada ya kuapishwa Wabunge wapya wa CUF na kuwataka Wabunge kuheshimu kanuni za kisheria hasa waliokuwa wanamtolea maneno ya kebehi.

Taratibu zote zilifuatwa kuhusu hawa wabunge kuingia hapa Bungeni na kwa kumalizia niseme kuwa Spika ana nafasi yake, wapo baadhi ya lile kundi walikuwa wakijinadi kuwa Spika huyu dhaifu.

“Ilipofika kwenye 18 zangu nikasema hapa ndio udhaifu wangu utakapoonekana.  Kama una akili yapo maneno ambayo hayana lazima wala umuhimu na mwisho utaumia bure.” – Job Ndugai.

UKAWA TENA!! Wasusia Bunge wenzao wapya wa CUF wakiapishwa…tazama kwenye hii video hapa chini!!!

“Sio kila anayepata ujauzito amependa, Rais alitazame upya” – Ester Matiko

“Mimi ndio Spika, nasema mwaka mtu hakanyagi hapa” – Ndugai

Soma na hizi

Tupia Comments