Michezo

VIDEO: Kikosi kilichoifunga Yanga SC, kimefanya usajili wa wachezaji 11 kwa Tsh Milioni 40

on

Club ya Yanga SC leo ilicheza game yake ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2019/20 dhidi ya Ruvu Shooting na kupoteza mchezo huo kwa goli 1-0 lililofungwa na Sadat dakika ya 21 ya mchezo huo.
Yanga amecheza mchezo huo akiwa hana rekodi ya kutopoteza mchezo wake wowote dhidi ya Ruvu Shooting na mara nyingi huwa anamfunga kwa idadi kubwa ya magoli, baada ya ushindi huo afisa habari wa Ruvu Shooting Masau Bwire anasema timu yake itakuwa Bingwa.


VIDEO: Niyonzima kaeleza kilichotokea kati yake na Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments