Mix

Uliikosa Hotuba ya kwanza ya Rais Magufuli nje ya nchi? kuna dakika 7 hapa

on

Ni hotuba ya ziara yake ya kwanza nje ya nchi toka Rais Magufuli ateuliwe kuwa Rais wa Tanzania October 2015, aliyaongea haya kwenye ufunguzi wa daraja la kimataifa mpakani mwa Rwanda na Tanzania pamoja na kituo cha pamoja kitakachokuwa na Maafisa uhamiaji wa Rwanda na Tanzania April 6 2016.

ULIIKOSA YA RAIS MAGUFULI KUTANGAZA HADHARANI MSHAHARA ANAOLIPWA KAMA RAIS WA TANZANIA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments