Top Stories

Polisi Dodoma baada ya kuwakamata matapeli

on

Jeshi la Polisi Dodoma linawashikilia jumla ya watu 23 kwa makosa mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo utapeli, wizi wa kuvunja nyumba na maduka pamoja wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya. Kamanda wa Polisi mkoani humo Gilles Muroto amewaita Waandishi wa habari na kuwaelezea namna ilivyokuwa.

Siku 3, baada ya Geita kutajwa ya pili kwa Utoro mashuleni, RC katoa siku saba

Soma na hizi

Tupia Comments