Top Stories

VIDEO: Kundi la Tanzania Kuelekea AFCON 2021 limepangwa leo Cairo

on

Tukiwa tunaelekea kumaliza fainali za AFCON 2019 nchini Misri, tayari harakati za kuelekea kuwani kufuzu kucheza fainali za AFCON 2021 nchini Cameroon zimeanza, kuelekea michuano hiyo shirikisho la soka Afrika CAF limechezesha droo ya kupanga Makundi ya awali ya kuwania kufuzu fainali hizo.

Kuelekea AFCON 2021 Tanzania imepangwa Kundi J na timu za Libya, Equitoria Guinea na Tunisia hivyo watakaomaliza nafasi mbili za juu katika Kundi watafuzu kucheza fainali za AFCON 2021 nchini Cameroon.

VIDEO: “Narudia tena Yanga na Simba Sio wenye CECAFA”-Musonye

Soma na hizi

Tupia Comments