Premier Bet
TMDA Ad

Burudani

PICHA:John Wick Chapter 3 imezinduliwa kuoneshwa kesho Mei 17 CINEMA

on

Najua nina mashabiki mnaopenda movie time hii nakusongezea habari njema kwamba John Wick Chapter 3 (Parabellum) inatarajiwa kutoka rasmi kesho Mei 17, 2019 katika majumba mbalimbali ya Cinema.

Kwenye movie hiyo mpya utawakuta mastaa wakiwemo, Keanu Reeves, Mark Dacascos, Asia Kate Dillon, Halle Berry, Ian McShane, Ruby Rose na wengineo.

Safari hii John Wick atakuwa na mtihani mzito sana kwani wahuni wanawekewa Pesa mezani kisha kupewa mtihani wa kumuuwa John Wick.

Hapa chini nimekusogezea baadhi ya picha kutoka kwenye uzinduzi wa Movie hiyo uliofanyika nchini Marekani

]

 

Soma na hizi

Tupia Comments