Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Huduma ya kujipima UKIMWI mahala pa kazi
Share
Notification Show More
Latest News
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM
April 1, 2023
Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
April 1, 2023
Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Huduma ya kujipima UKIMWI mahala pa kazi
Top Stories

Huduma ya kujipima UKIMWI mahala pa kazi

January 19, 2023
Share
3 Min Read
SHARE

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeanzisha huduma ya kujipima VVU mahala pa kazi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma ya vipimo vya VVU kwa watumishi makazini hasa wanaume, ambapo hadi kufikia Desemba 2022 watu wapatao 96,231 wamepatiwa huduma ya JIPIME mahala pa kazi.

Hayo yamejiri leo Januari 13, 2023, Jijini Dodoma wakati wakati Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akiwasilisha taarifa kuhusu kuhuisha na kujumuisha maswala ya UKIMWI mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya UKIMWI.

“Wizara imeanzisha huduma ya kujipima VVU (JIPIME) mahala pa kazi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma ya vipimo vya VVU kwa watumishi sehemu za kazi hususani Wanaume. Hadi kufikia Desemba 2022 watu wapatao 96,231 wamepatiwa huduma ya JIPIME mahala pa kazi.” amesema Dkt. Mollel.

Sambamba na hilo amesema, hadi kufikia Desemba 2022 jumla ya vijana balehe 47,705 (Wavulana 20,329 na Wasichana 27,376) walifikiwa katika shule zipatazo 103 kupitia kampeni ya Kipepeo, huku akibainisha kuwa, Kampeni hii inatarajiwa kufanyika mwaka 2023 katika mikoa ya Dodoma, Singida, Morogoro, Tanga na Geita.

Ameendelea kusema kuwa, kwa mwaka 2022 Wizara kwa kushirikiana na TACAIDS na Wizara ya Elimu imeweza kutoa mafunzo ya elimu ya jinsia kwa walimu wapatao 5,033 nchini.

Pamoja na hayo, Dkt. Mollel amesema, hadi kufikia Desemba 2022 kuna vituo vitano (5) vya kutolea huduma za afya katika maeneo ya Geita Gold Mine (Geita), North Mara Gold Mine (Mara), Bulyanhulu Gold Mine Limited (Shinyanga), New Luika Gold Mine (Songwe) na Mererani (Manyara).

Amesema, huduma za VVU zinazotolewa katika migodi hiyo ni pamoja na Upimaji wa VVU, huduma za tiba na matunzo ikiwemo utoaji wa ARV, huduma za tohara, huduma za JIPIME, huduma za dawa kinga (PrEP) na magonjwa mengine ya ngono.

Kwa upande wa wakazi wanaokaa maeneo yasiyifikika kwa urahisi hususani visiwani, amesema, Wizara imekuwa ikitoa huduma za VVU na UKIMWI kwa njia ya huduma mkoba ngazi ya jamii na baadhi ya maeneo kama visiwa hususani Ziwa Vitoria Mkoani Mwanza huduma hii hutolewa kwa kutumia usafiri wa boti maalum (Fikia boat).

Aidha, Dkt. Mollel amesema, Kwa kipindi cha Januari hadi Desemba 2022 jumla ya kondomu 111,934,600 zilisambazwa nchini ili kuongeza mapambano dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI, huku kati ya hizo, kondomu 2,806,500 zimesambazwa katika Wizara na Taasisi mbalimbali.

You Might Also Like

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM

Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA January 19, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Macho na masikio kwenye muswada wa Sheria ya Habari
Next Article Miradi 630 ya Dola Bilioni 3.68 imesajiliwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
Top Stories April 1, 2023
Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM
Top Stories April 1, 2023
Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Top Stories

Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM

April 1, 2023
Top Stories

Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?