AyoTV

Video: Mpoto awaliza watu, RC Makonda na Alikiba washindwa kujizuia

on

Machi 4, 2019 ambapo Mrisho Mpoto alisimama na kuimba wimbo wa kumuenzi Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahaba huku Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na Alikiba walishindwa kujizuia hisia zao.

Unaweza ukaitazama hii video ujione kile kilichojiri leo mkoani Bukoba Kagera.

Soma na hizi

Tupia Comments