AyoTV

Timu imemaliza game zake Mwanza na kushindwa kulipia Lodge, AyoTV imeongea nahodha

on

Club ya AFC ya jijini Arusha leo iliripotiwankatika mitandao y a kijamii kuwa imekwama jijini Mwanza baada ya kushindwa ku-clear bili za Lodge walipokuwa wamefikia kwa ajili ya mchezo wa Gwambina FC na Pamba FC na sasa wanahitajika kurudi Arusha kwa ajili ya mchezo wa Jumamosi.

AFC ya jijini Arusha kwa sasa inapambania kurudi Ligi Kuu msimu ujao ikishiriki Ligi daraja la kwanza, Ayo TV imeongea na nahodha msaidizi wa timu hiyo Hamisi Mroki ni kweli wamezuiwa lodge kuondoka kwa sababu ya kushindwa ku-clear bili.

VIDEO: Antonio Nugaz kaanza na Mbwembwe Yanga “Yanga unyonge kwisha”

Soma na hizi

Tupia Comments