Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Hukumu Kesi aliyofungua Sugu na Msigwa dhidi ya Sheria za Magereza, Wakili afunguka
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Hukumu Kesi aliyofungua Sugu na Msigwa dhidi ya Sheria za Magereza, Wakili afunguka
Top Stories

Hukumu Kesi aliyofungua Sugu na Msigwa dhidi ya Sheria za Magereza, Wakili afunguka

December 7, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Kuu ya Dar es Salaam leo imeshindwa kutoa hukumu ya kesi ya kikatiba dhidi ya Kamishna wa Magereza Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Serikali iliyofunguliwa na aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) wote kutoka Chadema kutokana na Majaji kuwa katika vipindi vingine vya Kimahakama.

Kesi hiyo namba 13 ya mwaka 2021 ilifunguliwa katika Mahakama hiyo ambapo wawili hao wanapinga ukiukaji wa haki zao za msingi na kikatiba wakati wanatumikia adhabu walizopewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya.

Nje ya mahakama, Ayo Tv na Millardayo.com imezungumza na Wakili wa walalamikaji hao, Charles Tumaini ambaye amesema kesi imeahirishwa hadi Disemba 19, 2022.

“Leo tumeambiwa Majaji wanavipindi vingine lakini kesi imeahirishwa hadi Disemba 19, ambapo tunatarajia hukumu hiyo itasomwa na Jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Luvanda,”.

Miongoni mwa hoja nyingine wanazolalamikia ni utaratibu wa viboko kwa wafungwa wanaokutwa na hatia pamoja na wakulazimishwa kutotumia sehemu za haja kubwa mpaka pale watakapopata ruhusa kutoka kwa askari wa gereza jambo ambalo alisisitiza kuwa ni ukiukwaji wa haki za binadamu.

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA December 7, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mkali wa K U LO SA, ‘Oxlade’ kutumbuiza Dar Ijumaa hii, Super Dome Arena
Next Article Nandy, Marioo na G Nako kutumbuiza jukwaa moja na Mkali wa KULOSA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?