Top Stories

Hukumu kesi ya Membe dhidi ya Musiba yaahirishwa (+picha)

on

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha hukumu katika kesi ya madai ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe na Cyprian Musiba hadi Oktoba 28, 2021 kutokana na kutokamilika kwa maandalizi ya hukumu hiyo.

Hukumu hiyo ya kesi namba 220 ya mwaka 2018 ilitarajiwa kutolewa na Jaji De Melo, ambapo Membe alimshitaki Musiba akimdai fidia ya Sh Bil 10 kutokana na kumchafua kupitia vyombo vyake vya habari.

Soma na hizi

Tupia Comments