Top Stories

KAMA UNAMPANGO WA KWENDA DODOMA IKUFIKIE TAARIFA HII MPYA

on

March 20, 2019 Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Godwin Kunambi amekutana na Waandishi wa habari ofisini kwake ambapo ametangaza utaratibu mpya uliowekwa na halmashauri yake katika mzunguko wa magari ya abiria yaani daladala ambao utaanza kutumika siku za karibuni, hapa anaeleza namna mizunguko hiyo itajavyokuwa.

UKOSEFU WA TAULO ZA KIKE BADO JANGA, HII NDIO MBINU MBADALA

Soma na hizi

Tupia Comments