Top Stories

Hussein Bashe hajakaa kimya Bungeni leo “Tumechukua hatua” (+video)

on

Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ameitaka Serikali kuandaa mfumo mzuri wa kuwa inakutana na wazalishaji wa zao la zabibu pamoja na wachimbaji wadogo wadogo wa madini ili kuweza kuwasikiliza kero zao na kuzitafutia ufumbuzi.

JIWE MAARUFU DUNIANI LIPO NDANI YA MAJI, WATU UFIKA KUTOA SADAKA

Soma na hizi

Tupia Comments