Habari za Mastaa

Hussein Machozi asikitishwa kuzushiwa kifo kwa Mara nyingine

on

Mwimbaji mkongwe Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nje ya nchi kwa Muda mrefu, ameonesha kusikitishwa na taarifa zilizotolewa kwenye mtandao kuwa amefariki dunia wakati yupo hai.

Play hapa chini kwa taarifa kamili.

 

UMEIPATA HII YA SHETTA..? AKITOKA KULIKOMBOA GARI LAKE NA KUFUNGUKA HAYA.

https://youtu.be/jN9DC_JubiA

Soma na hizi

Tupia Comments