Top Stories

Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”

on

Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara maarufu Mbunge BWEGE amelieleza Bunge kuwa atahamasisha Wabunge wote wa kusini kuandamana endapo Serikali itashindwa kuwalipa pesa zao za korosho wanazodaiwa na wakulima.

Samaki wakamatwa katika mgahawa wa Bunge Dodoma

Soma na hizi

Tupia Comments